Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiongoza kikao cha Uongozi wa Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa,katika utekelezaji wa kazi za taasisi hizo,katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee.
Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba,pamoja na Maafisa
wengine wakiwa katika mkutano uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,chini ya
Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za
taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,(kulia) na Wakuu wa Mikoa ya Zanzibar
na wilaya wakiwa katika mkutano uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa,Mwenyekiti akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa
kazi za taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...