Kila ifikapo siku ya jumamosi kama ya leo,Wakazi wa Mkoani Dodoma na wengine watokao sehemu mbalimbali hupenda kutembelea eneo hili la Msalato maarufu kama Mnadani kwa ajili ya kujipatia maakuli ya chama choma.Pichani ni mmoja wa vijana wanaohusika na uchomaji nyaka katika eneo hilo akiendelea na shughuli yake.
Kila muuza Nyama huvutia wateja kwa namna yake,na huyu akionekana kunyanyua moja ya pende la nyama hizo kama anavyoonekana.
Nyama ya Mbuzi ikiwa imepangwa tayari tayari.
mzigo upo jikoni.
mtu ni afya naomba wizara ya afya itazame usafi wa hizi nyama.
ReplyDeleteAfadhali mdau namba moja umetangulia kusema. Niliogopa wapenzi wa nyama choma wasijenivamia, lakini lile eneo halina usalama kiafya hata kidogo.
ReplyDeleteVumbi kwa wingi hata sijui watu wanafuata nini pale.
hapo ni mbuzi kwenye gunia. hahahaaa. kambwa kalikua kadogo..
ReplyDeletenani kachinja mkristu au muislamu?
ReplyDelete