Kikosi
Kamili cha timu ya soka ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kikiwa
katika picha ya pamoja kabla ya mcherzo wa na Gymkhana jijini Dar es
Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 3-3
Kikosi cha timu ya soka ya Gymkhana.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya NSSF, Patrick Gandye akiwania mpira huku akizongwa na beki wa timu ya Gymkhana, Hayssam Srour.
Clementi Sanga akiambaa na mpira huku akifuatiliwa kwa karibu na mchezaji wa NSSF, Kitwana Kidatu.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakifuatilia mchezo huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...