Meneja
masoko wa kampuni ya bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttala akizungumza na
wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha la
uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha Grand Malt ya kuwashindanisha
wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja
fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Arthi mkoani Dar es salaam
jana.
Mratibu
wa tamasha la Exel With Grand Malt,Victor Ndunguru akiongoza ujumbe wa
kukagua timu za mpira wa miguu za Chuo kikuu DUCE na chuo kikuu cha Dar
es salaa kwenye bonanza hilo lililoshirikisha wanafunzi wa vyuo
mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa
kampeni ya kinywaji cha Grand Malt ya kuwashindanisha wanafunzi ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu
ijulikanayo kama Exel with Grand Malt,Timu ya chuo kikuu Dar Es Salaam
ilishinda kwa 3-1 tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo
kikuu Arthi mkoani Dar es salaam
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya nchini Joh Makini akiwapagawisha wanafunzi wa
vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa
kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu
ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika
viwanja vya chuo kikuu Arthi mkoani Dar es salaam.
Si chuo kikuu arthi ni chuo kikuu ardhi
ReplyDelete