Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona kawaida sana, nilikua na classmate wangu ambaye ni mnaigeria huku ughaibuni wakati bado nipo chuoni, alikua anaimba wimbo huu japo alikua akitafuna maneno kwakua hajui kiswahili na nilipomuuliza aliujulia wapi akaniambia wamefundishwa akiwa shuleni.Ikumbukwe nyimbo hii na baadhi ya alama za kiafrika zilikua zikitumika kwa pamoja ktk miaka ya sitini ya uhuru kwa nchi za afrika

    ReplyDelete
  2. Huu wimbo ni Wimbo wa Afrika, sema Tanzania unatumika kama wimbo wa Taifa,kwa kila nchi wanauimba kwa lugha yao, nimeona Watswana wanaimba na kama umewahi angalia filamu ya Steve Bico wakati akizikwa uliimbwa kwa kizulu, tune zipo sawasawa nchi zote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...