Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Mkurugenzi wa Kikundi cha taarab cha East African Melody,Marehemu Haji Mohammed mara baada ya kuwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar.
wa Mkurugenzi wa Kikundi cha taarab cha East African Melody,Marehemu Haji Mohammed Ummu kurthum Haji (kulia) akiwa na wafiwa wengine wakati wa mwili wa marehemu ulipowasili katika bandari ya Malindi Zanzibar. Picha na Haroub Hussein
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...