Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji (UTT), Dk. Hamis Kibola akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya
ya kukopesha kwa ajili ya kuendeleza biashara kwa wafanyabishara wadogo na wa
kati kwa masharti nafuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano, Daudi Mbaga
na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima.
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima akifafanua jambo wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima akimkabidhi mkopo wa shis milioni 4 Mkuu wa madereva wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma, Mrisho Ngongo.
Picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...