Bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU UGHAIBUNI yenye maskani nchini Ujerumani inawatakia kila la heri na fanaka ya MIAKA 49 YA MUUNGANO wa jamuhuri ya TANZANIA, watanzania wote popote walipo. Muungano wetu wa bara na visiwani ni muungano wa undugu wa damu.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ubariki Muungano wetu.
Usikose kupata burudani kamili at http://www.ngoma-africa.com au
hi! maafande wa ffu ughaibuni,tunashukuru wa ujumbe wenu nyini mnatufiria sana nyumabani na mnaijali sana jamii ,mbarikiwe
ReplyDeletehatutaki muungano hauna faida na sisi wa visiwani hatutaki muungano
ReplyDeletemtoa maoni wa pili ni mnafiki
ReplyDelete