Bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU UGHAIBUNI  yenye maskani nchini  Ujerumani inawatakia kila la heri na fanaka ya MIAKA 49 YA MUUNGANO wa jamuhuri ya TANZANIA, watanzania wote popote walipo. Muungano wetu wa bara na visiwani ni muungano wa undugu wa damu.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ubariki Muungano wetu.

Usikose kupata burudani kamili at http://www.ngoma-africa.com  au

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hi! maafande wa ffu ughaibuni,tunashukuru wa ujumbe wenu nyini mnatufiria sana nyumabani na mnaijali sana jamii ,mbarikiwe

    ReplyDelete
  2. hatutaki muungano hauna faida na sisi wa visiwani hatutaki muungano

    ReplyDelete
  3. mtoa maoni wa pili ni mnafiki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...