MWanamama Abeti Masikini anakupa 'Likayabo' mambo ya manjano na mdalasini...
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali,
ReplyDeleteAma kweli unatunyanyua ktk viti vyetu tulikuwa tumekaa na sasa tunacheza kavu kavu bula kuwa Ukimbini au Dansini kwa kuturushia hewani ndege wetu wa zamani 'Likayabo' Lizuma na Samaki, chumvi ma, pilipili ma, inakolela kushigo!,,,siku nitafika kwetu nitakula!!!
Hadi raha unavyonikumbusha enzi za Abeti Masikini na kiswahili chake cha kikongo.
ReplyDeleteAmejitahidi lakini, alikuwa anakumbuka nyumbani na vitu anavyovikosa ugenini.
Hiyo ni kiswahili ya Kisangani DRC Abeti Masikini anaimba...ukifika Bukavu pia uzungumza... Naenda kuzuuza bunga kusoko...tz naenda kununua unga sokoni...Lubumbashi nao usema hivi...Nitakuponona...tz nitakupiga.
ReplyDeleteMdau in Sweden