Ngoma ya 'MUHOGO WA JANG'OMBE' hauna mfanowe. RIP Bi Kidude

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NImelia, Rest In Peace FAtma Bint BAraka, ALLAh akuswameh dhambi zako kwani tumeumbwa binadam dhaifu na ALLAh anayajua, kweli tumpoteza kiumbe, nilikuwa wakati wote namuombea huyu Bibi arudi kwa ALLAh kabla mauti hayajamfika, lakini sisi si wa kutoa Hukmu, ALLAh amuweke peponi Bi Kidude maana alikuwa akitibu watoto wadogo wenye pumu nasikia basi kwa kazi yake hii ALLAh amhurumie ...

    Ankal nimefurahi na kijembe chako "WATISA KAMPA TISA" wamoja haongezeki kuna vyama vya siasa vinakuonea donge ! watabakia na kununa na kulia kama nyuki! ha ha ha ha mpewa hapokonyeki !!!! kata mbuga Ankal .....

    ReplyDelete
  2. R.I.P. Bi Fatma Bint Baraka (BI KIDUDE).
    Akhsante Bi Rukia Ramadhani, kweli MPEWA HAPOKONYEKI, aliyepewa kapewa!

    ReplyDelete
  3. WTz bwana Maungu tuuuuuuuuuuuuuuuu! I have to learn direct methods of communication sometimes!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...