Ngoma ya 'Embakasi' ya Les Mangelepa lazima italiza wengi
Home
Unlabelled
Ngoma Azipendazo Ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante kaka. Nimekumbuka mbali sana.
ReplyDeleteMheshimiwa nashukuru pia naomba kama utaweza Unisaidie wimbo wa Hamza kalala, Ngozi ya Kitimoto huwa nautafuta sana ukiweza nisaidie, niwe nakumbuka kumbuka Nyumbani
ReplyDeleteAnkal ! asante sana umetukumbusha kikosi hiki enzi zao akina Kabila kabanze, Bwaby wa Lumona n.K
ReplyDeletewadau ffu
Mkuu Ankal wakongwe hawa enzi zao akina Mutonkole Longwa Didos, Lovy Longomba, Wa Bukasa Bukalos, Rapok Kayembe Miketo,Kassongo Songoley, Lobe Mapako, Dodo Dorris,Katele,Bwamy,vivi N.K we acha tu
ReplyDeletewadau
ffu