'
Ngoma ya 'Nasema Sina Ndugu' ya Orchestra Maquis Du Zaire katika staili ya Kamanyola Bila Jasho ni balaa. Asante Vumbi Dekula kwa kuhifadhi ngoma hii na kutuletea. Najua unazo kibao, usichoke kutukumbusha enzi za chini ya mwembe kama upendavyo kusema mwenyewe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...