
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda jana amepokea shilingi milioni kumi kwa ajili ya rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa 16 jijini dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya China Henan International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian akimkabidhi waziri Mkuu hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi ya kampuni hiyo makabidhiano hayo yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa wengine mara baada ya kupoke msaada wa fedha hizo.Picha na Chris Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...