Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akikabidhi vifaa na dawa
zitakazotumiwa na madaktari hao kwa muda wa siku saba kwa uongozi wa
Mkoa.
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Ramadhan Maneno akifungua rasmi mpango wa NHIF
wa madaktari Bingwa kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Maweni.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Leonard Subi akitoa neon la shukrani kwa NHIF kwa uamuzi wa kupeleka wataalam hospitalini kwake. 
Uongozi wa Mkoa, NHIF na madaktari bingwa wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa kuanza kazi ya kuona wagonjwa.
Wanaume wa Kiafrica always hamko gentle. Utaona wakati picha zinapigwa wanawake wanasukumwa nyuma na kwenye nyasi kama inavyoonekana hapo juu. hili nimeliona kwenye picha nyingi yaani hakuna ile kuwa gentleman na kusema mwanamke sogea hapa nikupe nafasi kwanza. Hata kwenye vyakula na mambo mengine wanaume mko wabinafsi sana. Mdau, CA, USA
ReplyDelete