Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifunga semina kwa mawaziri na makatibu wakuu  walioketi na kupanga mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete  tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiweka saini kama wadhamini wa waraka wa  kujifunga katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita katika   semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa semina kwa mawaziri na makatibu wakuu  kujadili mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete  tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
 Mawaziri wa  Fedha, Kilimo, Uchukuzi, Maji, Nishati na Madini na Elimu wakiweka saini  waraka wa  kujifunga katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara sita  hizo sita baada ya  semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na kumalizika mwezi huu wa  Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa na mawaziri na makatibu wakuu wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia Dkt Idris Jala wakti wa kuujadili  mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita katika   semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa PEMANDU, ambapo utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa benki ya NBC Bw. Lawrence Mafuru akitoa majumuisho ya uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika   semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. wamasai ni wanafiki namuunga mkono Kagasheki. asilimia 80 wanaojidai viongozi wametoka Kenya Rais toa tamko muunge mkono kagasheki

    ReplyDelete
  2. Huo mfumo umewatoa wenzetu kama ukitimizwa basi itakuwa poa. Tatizo ni maamuzi magumu kuchukuliwamanakeatayekuwa chini ya kiwango inabidi aondolewe kwenye kazi yake mara moja kuanzia mawaziri mpaka ngazi ya chini. Swali la kizushi ni je mheshimiwa rais yupo tayari kwa maamuzi magumu?

    ReplyDelete
  3. Je Mawaziri mpaka ngazi ya chini mpo tayari kuwa juu ya kiwango?

    ReplyDelete
  4. Mdau wa 2 na wa 3 juu, hapo ndio gari limewaka atakaye fanya kazi chini ya Kiwango hakuna Msaada kwenye tuta atafungasha virago na hatakuwa na wa kumlaumu kwa kuwa Mfumo utamwengua automatically!

    Kwa kweli hili ndilo suluhisho la Uwajibikaji na gonjwa la Ufisadi.

    -Utendaji utazingatia mfumo,
    -Mahesabu na Bajeti yatazingatiwa,
    -Team work itazingatiwa mzembe atajulikana ni nani ktk mchakato.

    Ahsante sana kwa Mapango huu!

    ReplyDelete
  5. Yap yap yap vitendo je? Uzalendo Je?

    ReplyDelete
  6. Imeshafikia Tamati!

    Kama LUKU ni (Lipa Umeme Kadiri Utumiavyo) basi hili neon PEMANDU tulipatie Msamiati rahisi ili tuweze kulizoea ni kuwa ''MSAADA NDUGU YANGU SASA BASI SASA KAZI'' yaani (MSANYASAKAZI).

    Ina maana unapopewa jukumu, ufanye kazi ukiharibu hakuna kusaidiana utakiwa auchie ngazi wewe mwenyewe maana Mfumo unakuwa umekutambulisha hukutimiza majukumu.

    Hivyo PEMANDU=MSANYASAKAZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...