Afisa
wa Ubalozi wa Tanzania China Matilda Masuka akiongea katika
Roadshow hiyo iliyohusu
utangazaji wa utalii wa Tanzania nchini China.
|
Umati
wa Wachina wakisikiliza mada mbalimbali kuhusu utalii wa Tanzania jijini Beijing
China
Sehemu
ya wachina wakifuatilia mada za utalii
wa Tanzania kwa umakini.
Balozi
wa Tanzania China Philip Marmo akiongea katika Road show hiyo jijini Beijing China.
Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii nchini Dk. Aloyce Nzuki akiwa
kazini pamoja na mkalimani wake kuhamasisha wachina kufika nchini.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao
|
Hawajatangaziwa tu wamejaa mitaani, sembuse kwa kutangaziwa! Tusubiri miaka mitano ijayo uone population inavyogawanyika na wachina....
ReplyDeleteIla tuweni makini sana jamani na NYARA zetu za TAIFA maana hawa mabwana huku kwao wanakuambia hata tembo wote waishe AFRICA demand ya pembe za TEMBO itakuwa bado hiko juu sana. Yaani nyara zote mpaka MIJUSI TUIANGALIE NA TUILINDE watatutia umasikini hawa watu, kikubwa iwepo sheria kali tu atakayekamatwa na nyara za serikali adhabu ni kunyongwa tu .
ReplyDelete