Meneja wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitoa maelezo mafupi kwa wana habari juu ya ugeni kiwandani hapo kulia kwake ni Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan na kushoto kwake ni Msambazaji mkuu wa bidhaa za Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoani Kilimanjaro
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan kushoto akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitembelea kiwanda hicho mwishoni mwa wiki hii.
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akionja bia ya Guinness inayozalishwa kiwandani hapo(kulia) akiwa pamoja na katibu wake Nicholas Michael(katikati) na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah(kushoto).
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akipata maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara ya kiwanda hicho Jemima Mwambungu.

Mpishi mkuu wa bia za Kampuni ya Bia ya Serengeti Moshi Julius Nyaki akitoa maelekezo kuhusu upikaji wa bia ya Guinness kwa Balozi
Mazungumzo ya hapa na pale pia yalikuwepo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...