Kamishna wa Maadili,Jaji mstaafu Salome Kaganda (aliesimama mbele kushoto) akisoma utangulizi wakati wa Semina ya maadili ya viongozi wa serikali inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hotel ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala bora) Mh. George Mkuchika akifungua Semina ya maadili ya viongozi wa serikali inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hotel ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Katibu Msaidizi wa Tume ya Maadili kanda ya Mashariki Bi Getrude Ishengoma akitoa mada kuhusu mgongano wa kimaslahi wakati wa mafunzo ya maadili ya viongozi wa serikali.
Wajumbe toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Wajumbe mbali mbali wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Semina hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi hizi semina za maadili ya viongozi zina faida gani? ni vigumu sana kukuta kiongozi mwenye maadili hapa kwetu. Naomba msaada wana blogu

    ReplyDelete
  2. Tangu tume imeanzishwa uliza imekamata wangapi,imeshtaki wangapi,naona wametatua tu tatizo la ajira hapa bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...