Kamishna wa Maadili,Jaji mstaafu Salome Kaganda (aliesimama mbele kushoto) akisoma utangulizi wakati wa Semina ya maadili ya viongozi wa serikali inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hotel ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala bora) Mh. George Mkuchika akifungua Semina ya maadili ya viongozi wa serikali inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hotel ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Katibu Msaidizi wa Tume ya Maadili kanda ya Mashariki Bi Getrude Ishengoma akitoa mada kuhusu mgongano wa kimaslahi wakati wa mafunzo ya maadili ya viongozi wa serikali.
Wajumbe toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Wajumbe mbali mbali wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Semina hiyo.
Hivi hizi semina za maadili ya viongozi zina faida gani? ni vigumu sana kukuta kiongozi mwenye maadili hapa kwetu. Naomba msaada wana blogu
ReplyDeleteTangu tume imeanzishwa uliza imekamata wangapi,imeshtaki wangapi,naona wametatua tu tatizo la ajira hapa bongo
ReplyDelete