Familia ya John Keraryo na Mke wa Marehem Ibrahim Werrema John, Bi. Agatha Ibrahim John wanapenda kutoa shukurani zao za dhati kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki, Uongozi na Wafanyakazi wote wa Benki Kuu ya Tanzania pamoja na Kanisa la Waadventista Wasabato kwa ushirikiano na misaada ya hali na mali mliyotupa wakati wa kipindi kigumu cha msiba wa Mpendwa wetu Ibrahim Werrema John aliyefariki tarehe 13/03/2013 katika Hospitali ya AMI Dar Es salaam.
Aidha tunatoa shukurani kwa Madaktarii wote waliojitahidi kadiri ya uwezo wao kuokoa maisha ya Ibrahim.
DAIMA TUTAMKUMBUKA KWA WEMA NA UPENDO WAKE!
AMEN
RIP Ibrah! you will be missed terribly...Tutakukumbuka Daima kwa wema, ucheshi na upendo wako. Pumzika kwa Amani Baba
ReplyDeleteStill not believing you are gone my dear friend Ibra. I miss you so much..Mungu akupumzishe kwa amani na awafariji familia yote.
ReplyDeleteTulimpenda Ndugu yetu naye pia hakutamani kutuacha hivi, ila Hatuna budi kukubali kwani ni andiko lazima litimie kila kiumbe hai kitazaliwa na kisha kufa!
ReplyDeleteNamuomba Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya Kaburi, Inshallah.
Wabirah Tawfiq! Amina!!