Jirani na feri
 Mkeka wa nguvu pia upo
 Kijani imetawala
Ujenzi wa daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Picha nzuri, na hasa hiyo inayoonyesha daraja la Kigamboni.

    Wengi hatufahamu limefikia wapi.

    ReplyDelete
  2. mdau picha zako zina faida kwa wengi,nimefurahi kuliona daraja la kigamboni,sie wakazi wa Tuangoma na kibada twalisubiri kwa hamu ,maana ni tiba ya foreni

    ReplyDelete
  3. Tunashukuru kwa picha hizi! Hakika Kigamboni inapendeza.
    Kukamilika kwa daraja la Kigamboni na lile tunalotarajia kujenga kati Mgeninani na Toangoma kutaunganisha Kigamboni na mjini na kuleta maendeleo ya haraka.
    Dr Ndugulile
    Mbunge-Kigamboni

    ReplyDelete
  4. Dr Ndungulile nimeifurahia sana komenti yako juu ya daraja tarajiwa la Tuangoma - Mgeninani,sie wakazi wa Tuangoma hatuna sababu ya kuzunguka kote huko kongowe,miundombinu kama hii itatufanya tuondokane kabisa na misongo ya mawazo tunayoipata barabarani,safi sana mbuge wetu ,kura yangu 2015 umeipata

    ReplyDelete
  5. Nimekuli maaendeleo ya jk anayofanya yanaoneka safi sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2013

    Nimefurahi kuona comment za Mbunge wetu huku. Mheshimiwa mimi bado nina hamu ya kununua ardhi zaidi huku kigamboni, napapenda mno kwani najua baadae kutakuwaje. Je nipo sahihi, kwani ninanunua mashamba ambayo hayajapimwa? Je serikali itanitambua mimi kama mwekezaji?

    Nashukuru sanaaa
    Kevin K.D

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...