Home
Unlabelled
Taswira za kigamboni kutoka angani leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha nzuri, na hasa hiyo inayoonyesha daraja la Kigamboni.
ReplyDeleteWengi hatufahamu limefikia wapi.
mdau picha zako zina faida kwa wengi,nimefurahi kuliona daraja la kigamboni,sie wakazi wa Tuangoma na kibada twalisubiri kwa hamu ,maana ni tiba ya foreni
ReplyDeleteTunashukuru kwa picha hizi! Hakika Kigamboni inapendeza.
ReplyDeleteKukamilika kwa daraja la Kigamboni na lile tunalotarajia kujenga kati Mgeninani na Toangoma kutaunganisha Kigamboni na mjini na kuleta maendeleo ya haraka.
Dr Ndugulile
Mbunge-Kigamboni
Dr Ndungulile nimeifurahia sana komenti yako juu ya daraja tarajiwa la Tuangoma - Mgeninani,sie wakazi wa Tuangoma hatuna sababu ya kuzunguka kote huko kongowe,miundombinu kama hii itatufanya tuondokane kabisa na misongo ya mawazo tunayoipata barabarani,safi sana mbuge wetu ,kura yangu 2015 umeipata
ReplyDeleteNimekuli maaendeleo ya jk anayofanya yanaoneka safi sana
ReplyDeleteNimefurahi kuona comment za Mbunge wetu huku. Mheshimiwa mimi bado nina hamu ya kununua ardhi zaidi huku kigamboni, napapenda mno kwani najua baadae kutakuwaje. Je nipo sahihi, kwani ninanunua mashamba ambayo hayajapimwa? Je serikali itanitambua mimi kama mwekezaji?
ReplyDeleteNashukuru sanaaa
Kevin K.D