Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Asante. Huo mkataba wenyewe utatuwekea tuusome Mzee?

    ReplyDelete
  2. Wapinga Muungano:

    Mtumie akili nzuri kufuatilia Habari kama hizi na kutumia akili mkitafakari kwanza kabla hamjafikia jazba za kuukataa Muungano.

    Angalieni mnakwenda wapi ikiwa,

    1.Dunia nzima inatafuta kuungana ili kuendesha mambo kwa ufanisi ingawa changamoto hazikosekani penye Ushirikiano, achilia Muungano wa Mamlaka kama Serikali,

    Hivi mnataka kusema ktk aina zingine za Muungano mfano wa Kijamii kama Ndoa hakuna changamoto?,,,jibu hazikosekani changamoto isipokuwa suluhisho sio kutoa Talaka iwapo ktk Ndoa panatokea kutokuelewana, watu hukaa na kaungalia ni kipi kifanyike ili maisha yaendelee, ingekuwa suluhisho ni kuvunja Ndoa nadhani Jamii zetu zingekuwa daima ni vipande vipande na hakuna maelewano!

    2.MIFANO:

    (i)-Umoja wa nchi za Ulaya, licha ya changamoto zilizopo mfano Mijadala inayoendelea hivi sana ktk Mabunge yao nchini mwao hususani kuhusu Umoja wa Sarafu na European Central Bank (Benki ya Umoja wa Ulaya), bado inakuwa vigumu kwa nchi kama Italia kujitoa kwenye Sarafu ya Euro na kurejesha Lira yao, inabidi waendelee kukabiliana na changamoto.

    (ii)-Sudan (Khartoum)
    -Sudan Kusini(Jubba)
    -Ethiopia
    -Somalia
    Hizi nchi nne zinzjihesabu kama sehemu ya Afrika ya Mashariki huku Sudan zote mbili na Somalia zikiwa zimeomba kujiunga na Muungano wa Afrika ya Mashariki, huku Wafuatiliaji wa masuala ya Kiuchumi wakisema Ethiopia ipo mbioni kutaka kujiunga na Muungano wa Afrika ya Mashariki.

    Nafikiri kwa nchi zenye akili, zenye maendeleo makubwa na zenye utajiri sana tu kama Oman na Saudi Arabia tungekuwa karibu nazo ama kupakana nazo pia zingependa Muungano!

    Sasa je, ndugu zetu Wapinga Muungano wa Zanzibar mpo dunia gani kwa mlolongo huo?

    Wenzenu wanatafuta Muungano ninyi mnapinga Muungano, je mnakwenda na wakati tulio nao?

    ReplyDelete
  3. Mdau wa 3 juu Swadaktaa.

    Hata kama ingelikuwa Oman bado ni Mtawala wa Zanjibar kwa umuhimu wa Muungano (na kwa mahitaji ya Kiuchumi, Kisiasa na ukuzaji yasio kwisha daima) kwa mambo kama Shirikisho la Afrika ya Mashariki, hata kama Oman ingekuwa bado ni Mtawala wa Visiwani hadi leo ingehitaji MUUNGANO NA AFRIKA YA MASHARIKI!!!

    ReplyDelete
  4. hatutaki muungano na watuonyeshee hati miliki najua sasa hivi wana mpango wa kuitengeneza hatutaki muungano hauna faida na sisi wa visiwani muungano wa nini hatutaki muungano

    pole sana mdau mwenzangu hapo juu uliyejitahidi kuandika kwa ufasaha lakin sisi hatutaki muungano unganeni na malawi

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 4 Muungano ni sawa na kujisikia kujisaidia haja kubwa ni kuwa inapofikia muda huo lazima mwenyewe utajisaidia tu.

    Kuna anayeweza kujizuia kunya?

    ReplyDelete
  6. Mdau wa nne Muungano ni LIBOLO ukisha ukalia unakuwa huwezi kuchomoka!!!

    ReplyDelete
  7. Mdau wa 4 juu uonyeshwe hati miliki ya muungano wakai hata Kiingereza chenyewe hujui kusoma?

    Wewe hata ile 'Ilmu' yenyewe hujapata sawasawa kama ungeipata usingeandika mawazo kama hayo , hukuelimika ulitoroka Madrassa huna elimu ya kuelewa hati!

    ReplyDelete
  8. wewe mtoa maoni wa 4 Mkazi wa Mchambawima-Zanzibar hiyo hata kuchamba kwenyewe bado unachamba wima kama jina la eneo unalokaa, ili uweje uonyeshwe hati ya muungano?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...