Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na Rais wa Cuba, Fidel Alejandro Castro Ruz, Rais wa Zaire, Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga na Rais wa Zambia Dkt Kenneth David Kaunda katika maongezi ya pembeni ya mkutano wa kimataifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nyerere hakuliasisi taifa la Tanzania peke yake, alishirikiana na Karume katika kuasisi hivyo Tanzania ina waasisi wawili.

    Kumuita muasisi tu hakuleta picha sahihi, kwa nini asiitwe muasisi mwenza?

    ReplyDelete
  2. duuh hapa naona kama baba wa taifa anamshangaa Mobutu anavyojisifia kwa Castro..na Kaunda kama vile anaona hii noumer kwa Castro jamaa mweusi mwenzetu anavyojisifia mambo ya kipuuzi, c unajua tena akina baelezee kwa majigambo yao ya kijingajinga....

    ReplyDelete
  3. majina yenyewe tu ni majigambo ya kutosha,jamaa alikuwa na hela si mchezo?

    ReplyDelete
  4. Mobutu hapa alikua akijaribu kujisafi
    unafiki wake,kwani alikua ndimi la kuwili,na masaliti wa ukumbuzi wa nchi za kusini mwa afrika enzi zile

    ReplyDelete
  5. Hivi Ninyi Wadau Mnaotoa Maoni...Mnakuwa na Chuki Binafsi na Watu,MnajiFanya WaTaalam Wa Kurekebisha Wenzenu Au Wenzetu Ndio BiNaadam Mliokamilika Hamna Makosa..?!..Wekeni Maoni Kama Binaadam Wenye Akili Timamu...?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...