Home
Unlabelled
UBAO WA TAHADHARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ubao wa Tahadhari jamani Michuzi vipi.Sio TAHADHALI
ReplyDeleteinaonesha ni kweli hapo ni nazi zinadodoka kweli maana hata kibao kimekutwa na ajari ya kudondokewa
ReplyDeleteYAANI WATANZANIA TUNATIA AIBU SANA KWA KUTOKUJUA KISWAHILI FASAHA NA KUONA MAKOSA NDIO SAHIHI KWA KUZOEA KUKOSEA. NENO SAHIHI NI TAHADHARI NA SIO TAHADHALI, HAPO JUU PIA KUNA KOSA ETI AJARI JAMANI NI AJALI. HIZI R NA L TUZISOME NA KUZITAMKA VIZURI. KWA MFANO BARABARA WANASEMA BALABALA, RAFIKI WANASEMA LAFIKI NA MENGINE MENGI. JAMANI TURUDIE VITABU, KAMUSI TUJUE KUKISOMA, KUKIANDIKA NA KUKISEMA KISWAHILI VYEMA. SIKU HIZI KATIKA VYOMBO VYA HABARI MAKOSA NI MENGI SANA, KUWE NA WASAHIHISHAJI WANAOJUA KISWAHILI FASAHA.
ReplyDelete