Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wakina Mama,Dk. Mrema (wa pili kutoka kulia) akimsikiliza kwa makini mmoja wa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa lengo la kupatiwa ushauri na tiba sahihi,wakati Madaktari hao Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili walipofanya ziara mkoani humo.
Wauguzi katika Hospitali ya Maweni wakitoa namba kwa wagonjwa waliojitokeza kuonana na madaktari bingwa wa Hospitali ya Muhimbili.
Dk. Vence (Katikati) akiwa katika chumba cha upasuaji akitoa huduma kwa mmoja wa watoto ambaye alifanyiwa upasuaji mapema leo (Jumanne).
Wagonjwa wakisubiri kuonana na Daktari Bingwa wa magonjwa ya Kawaida.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI
Kwakweli inasikitisha kuona kuwa wafanyazi wa hospitali hafuati utararibu na kanuni za kutoa huduma. Kuvaa gloves ni muhimu hasa katika utowaji wa huduma kwa mgonjwa. Gloves huepusha uambukizaji wa magonjwa kati ya mgonjwa na mtoaji huduma. Katika picha hapo juu, mtoaji huduma wa upande wa kulia hajavaa gloves na ukiangalia daktari na mtowaji wa huduma wa upande wa kushoto wote wamevaa gloves. Je, uvaaji gloves ni uamuzi wa binafsi na sio sharia ya afya? ingekuwa katika nchi zilizoendelea hospitali hiyo ingeshitakiwa kwa kutofuata taratibu za afya. Tanzania inabidi tuelimike na tuheshimu sharia.
ReplyDelete