Ujumbe wa Makamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge ukiwa katika picha ya Pamoja na watumishi wa Bunge la Australia.
Kamishna wa Bunge la Tanzania Dkt Maua Daftari akikabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Katibu wa Bunge la Maseneta la Australia Dr.Rosemary Laing Mara walipofika Ofisini kwake kumsalimu. Wengine katika Picha ni Mhe. Hamad Rashid Mohamed na Mhe. Abdukarim Shah ambo wote ni Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge.Ujumbe wa makamishna wa Bunge la Tanzania upo Nchini, Australia kwa ziara ya Mafunzo
Kamishna wa Bunge la Tanzania Dkt Maua Daftari akikabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Katibu wa Bunge la wawakilishi la Australia Ndg. Bernard Wright Mara walipofika Ofisini kwake kumsalimu. Wengine katika Picha ni Mhe. Hamad Rashid Mohamed na Mhe. Abdukarim Shah ambo wote ni Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Ujumbe wa makamishna wa Bunge la Tanzania upo Nchini, Australia kwa ziara ya Mafunzo
Safari za nje za nini?
ReplyDeleteNendeni vijijini!