Petition to prevent any building on "ground zero" area where the shocking incident took place on 29th March 2013 which took away so many innocent lives.
Parents lost their beloved kids playing near the mosque. Some families lost their sole bread earners in the construction works. Some were just on the road, going to church on Good Friday.
The area should be preserved as a reminder of the tragic loss we have all suffered.
Additionally, the nearby building of the same owner should also be taken down ASAP to prevent any further casualties.
By signing, you let the concerned authorities know your displeasure at the act and ask them to do their best to attain this goal.
How we love to ape
ReplyDeleteTukio limetokea, kama kuna mzembe afikishwe mahakama, then we pick ourselves up and start all over again
The stop order is out for the tragic site in City center,
ReplyDeleteWhat about the mushrooms of high buildings at Kariakoo where most of the buildings are below standards with help of corruption and built out of acceptable procedures?
Ground zero,my foot.
ReplyDeleteIbrahim
Tukio ni baya, la kusikitisha na linalostahili kwalo watu kuchukuliwa hatua za kisheria. Pia ikithibitika majengo ya muhusika huyu mengine yako chini ya viwango kama hili, pia ni sawa kubomolewa.
ReplyDeleteLakini mahali pale pasijengwe tena..................!?
Umeongea vizuri sana,lakini tungeomba utumie Lugha ya kiswahili.
ReplyDeleteMdau.
Kikubwa ni kuwalipa wahanga waliopona na ndugu za marehemu kifuta Maumivu na kujenga ni masuala mengine.
ReplyDeleteToo low, wote tunasikitishwa na tukio hilo ila kuweka ground zero mmmmh! cha kufanya ni serikali kutokuruhusu majengo marefu kwa sababu rushwa imekithiri kupita kiasi, na tunasikia kuna cement nyingine ni fake sasa sijui tunaelekea wapi? na unaonekana mdini sana wewe! mbona hukusema wale wanaotoka kusali pale msikitini ukawawaza wa good friday ???
ReplyDeleteDuh ground zero tena!! sasa maghorofa yanayoendelea kujengwa chini ya viwango yako ya kutosha hapo jijini sasa ground zero zitakua ngapi oo???
ReplyDeleteMmezoweya kuwaadhibu wadogo tu, na wakubwa jee? kwangu mimi napendelea wawajibishwe haraka kwani hili sio tukio pekee yapo mengi huko nyuma na yanayofanana na hili.
ReplyDeleteTATIZO WABONGO TUMEZOWEA KAZI ZA KUSIMAMIWA, YAANI UTAMADUNI WA KUWAJIBIKA KWA MOYO HATUNAOOOO. INGEKUWA MSIMAMIZI ANAJALI KAZI YAKE AJALI HIII INGEWEZA KUEPUKIKA. SWALA LA CEMENT FEKI LIKLO INJE YA UWEZO WA MSIMAMIZI WA UJENZI MAANA NI VIGUMU KUGUNDUWA BILA KUWA NA MITAMBO MAALUUM. MIMI KAMA BUILDING TECHNICIAN NANIWASI WASI KWENYE UFUNGAJI WA CHUMA AU NONDO KWA KISWAHILI, MWAKA 1986 LILIPOROMOKA JENGO K/KOO NIKIWA FORMEN NILIJIUZULU MWENYEWE BAADA YA VUTA NIKUVUTE NA ENGINEER WANGU KUHUSU KIWANGO CHA KUPISHANA KWA NONDO (OVERAPPING)KILIKUWA MAGUMASHI NIKASEMA SIKUSIKILIZWA NIKAMWAMBIA WEWE NI BOSS WANGU LAKINI KWA ELIMU YANGU NDOGO SIKUBALIANI NA KAZI ALIOIFANYA HUYU FUNDI CHUMA WAKO. KWA HIYO MIMI NAYAPENDA MAISHA YANGU NISIJE KATIKA MGUU KISA KAZI , KUSEMA KWELI NILIONDOKA WAKAENDELEA NA KAZI HADI SIKU YA KUMWAGA ZEGE, KUFIKIA SAAA KUMI JIONI LIKAPOROMOKA SIKUWEPO NILIPLETEWA TAARIFA NA KULAUMIWA ETI NIMEWAWANGIA. NILIMSHUKURU MUNGU NA HUWA NAMUOMBEA KWA MUNGU HUYOOO BOSS WANGU ENGINEER ALIKUWA MUHINDI LAKINI KESHAA TANGULIA MBELE ZA HAKI KWA UGONJWA WA SUKARI.
ReplyDeleteKWA HIYO SABABU ZA KUBOMOKA MAJENGO ZIKO NYIIINGI ISIPOKUWA NI WATU KUWA MAKINI NA KAZI ZAO KISHA KUJITUMA KWA MOYO.
Samahani wadau. Kwanza nawapa pole wote wafiwa na waliojeruhiwa. Kusema kweli ili swala ndiyo huwa tunaliongeleaga humu Michuzi, kuhusu haya majumba marefu. Kuna jamaa humu wanasifia sana wanayaita "vikwangua anga kama NY vile" Nabishana nao kila mala. Dar inaitaji miundo mbinu kwanza kabla ya watu kuruhusiwa kujenga majumba malefu. Hamna maji ya uhakika, hamna barabara za uhakika, Umeme unazima ovyo ovyo, pamejaa watu bila mpangalio. Nasema hivi, msije mkasema mie mchawi. Tsunami na matetemeko ni vitu vimetokea karibuni kwenye mataifa mengine kama kawaida na sisi inabidi tujipange, lasivyo kilichotokea Haiti ni cha mtoto kwa kitakachotokea Bongo. Jamaa wengi wana kelele sana humu, wakiambiwa wanaanza kusema, ohoo ohooo hulipendi Taifa lako kwa vile huko Ughabuni. Yupi anayekupenda mwenye uelewa na anakwambia ukweli kama ndugu, ujihami au anayekuchekea kinafiki na kukuchekea huku unaangamia? Magorofa kudondoka ni patigazeti tu tusipojipanga.
ReplyDelete