Uvalishaji wa nishani kwa watumishi wa Jeshi la Magereza na Tafrija ya kuwapongeza Timu ya Mpira wa Wavu Wanaume kwa kutwaa ubingwa wa Klabu bingwa ya muungano Tanzania. Sherehe za uvalishaji nishani zimefanyika chuo cha maafisa magereza ukonga dar es salaam na kufuatiwa na tafrija fupi ya kuwapongeza makamanda pamoja na wacheza wa timu ya mpira wa wavu katika Ukumbi wa Kikosi Maalum cha Kutuliza ghasia Ukonga-KM GARDEN. Picha zote hizo ni kwa hisani ya Dawati la Habari-Makao Makuu ya Jeshi la Magereza






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...