Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Mhe. Mohamed Chande Othman (katikati), Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu ( wa pili kulia), Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Jaji Mwaikugile, Makatibu wa Baraza (kushoto) wakiwa Katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Majaji Wafawidhi wa Kanda mbalimbali za Mahakama Kuu nchini, Waheshimiwa hao pamoja na wawakilishi wa Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania wapo Kiromo Bagamoyo Katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania kujadili na kutafuta njia mbadala za kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Mahakama ya Tanzania. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania).
Home
Unlabelled
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania Wafanyika Bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...