Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mtindi wenyewe umepigwa pasi.

    ReplyDelete
  2. wazungu maziwa yao hayadondoki?

    ReplyDelete
  3. Inachekesha
    Mdomo wa mheshimiwa ni kama kalishwa kijiko cha achali ya embe mbichi.

    ReplyDelete
  4. ingekuwa bongo wangekuwa wafu sasa, kweli wenzetu wameendelea, embe fikirieni maandamano tu ya wanafunzi mbaliii huko na alipo rais, lakini watu lazima waumizane, je ufanye kitu kama hicho wakati rais anautubia wazee pale diamond, walai tunakuzika bila ya kichwa

    ReplyDelete
  5. watanzania wenzangu chukueni notice hapo, japo kuwa wameingilia msafara hawajapigwa na mabomu wala bakora wameshikwa tu kiistarabu na sheria itachukuwa mkondo wake!!! ingekuwa Tanzania hapo, machozi ya mabomu,fimbo,rungu na majembe yangefanya kazi kuwaumiza wapinga msafara kitu ambocho si lazima!!!

    ReplyDelete
  6. Hawa washkaji wanachanganya mambo! Nimempenda Benja. Niwashauri tu wa shkaji, heburudini nyumbani mwone mambo yalivyo badilika, mliondoka sikunyingi sana. Sisi ulaya tunakuja kama watalii na kurudi nyumba. Tz ya leo si kama mlio iacha jamani, watoto wanapewa haki zao na wanaupeo wa kuelewa kuliko hao wahuko. Benja Big up. Sixmund

    ReplyDelete
  7. Anonym uliyesema nyumbani watoto wanapewa haki sidhani kama ni kweli kwani kama ni hivyo kusingekuwa na watoto wa mitaani ambao wametapakaa kona zote.Au ni haki zipi una maanisha wewe?
    Watoto hao walitakiwa wawe shule na waishi kama watoto.Watoto wengi wanafanyishwa kazi kama kuuza maji n.k ambayo ni kinyume na haki za watoto.
    Tanzania bado hatuna mipango mizuri na watoto na haihitaji elimu ya Chuo kikuu kuliona hili.

    Seven,Denmark

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...