Home
Unlabelled
Video Ya Wiki: Vijana wa Usalama wa Rais wa Urusi wafanyakazi ipasavyo kuzuia waandamanaji jijini Hanover, Germany.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtindi wenyewe umepigwa pasi.
ReplyDeletewazungu maziwa yao hayadondoki?
ReplyDeleteInachekesha
ReplyDeleteMdomo wa mheshimiwa ni kama kalishwa kijiko cha achali ya embe mbichi.
ingekuwa bongo wangekuwa wafu sasa, kweli wenzetu wameendelea, embe fikirieni maandamano tu ya wanafunzi mbaliii huko na alipo rais, lakini watu lazima waumizane, je ufanye kitu kama hicho wakati rais anautubia wazee pale diamond, walai tunakuzika bila ya kichwa
ReplyDeletewatanzania wenzangu chukueni notice hapo, japo kuwa wameingilia msafara hawajapigwa na mabomu wala bakora wameshikwa tu kiistarabu na sheria itachukuwa mkondo wake!!! ingekuwa Tanzania hapo, machozi ya mabomu,fimbo,rungu na majembe yangefanya kazi kuwaumiza wapinga msafara kitu ambocho si lazima!!!
ReplyDeleteHawa washkaji wanachanganya mambo! Nimempenda Benja. Niwashauri tu wa shkaji, heburudini nyumbani mwone mambo yalivyo badilika, mliondoka sikunyingi sana. Sisi ulaya tunakuja kama watalii na kurudi nyumba. Tz ya leo si kama mlio iacha jamani, watoto wanapewa haki zao na wanaupeo wa kuelewa kuliko hao wahuko. Benja Big up. Sixmund
ReplyDeleteAnonym uliyesema nyumbani watoto wanapewa haki sidhani kama ni kweli kwani kama ni hivyo kusingekuwa na watoto wa mitaani ambao wametapakaa kona zote.Au ni haki zipi una maanisha wewe?
ReplyDeleteWatoto hao walitakiwa wawe shule na waishi kama watoto.Watoto wengi wanafanyishwa kazi kama kuuza maji n.k ambayo ni kinyume na haki za watoto.
Tanzania bado hatuna mipango mizuri na watoto na haihitaji elimu ya Chuo kikuu kuliona hili.
Seven,Denmark