Msanii Hiphop anaeshabikiwa kwa wingi Ney wa Mitego,akikamua wakati tamasha maalum la uzinduzi wa AIRTEL YATOSHA mkoani mwanza katika viwanja vya Furahisha.
 Wananchi mbalimbali wa mkoani mwanza walijitokeza na kujiuga na Airtel
ili waweze kutumia huduma za Airtel Yatosha
 Msanii Chipukizi aliyeonyesha kipaji cha hali ya juu kwa kughani
mashairi yenye mvuto kwa miondoko ya HIPHOP wa mkoani Mwanza maarufu 
kwa jina la Dogo D alifanya burudani kali katika tamasha maalum la 
Airtel yatosha mkoani Mwanza katika viwanja vya Furahisha
  Wananchi mbalimbali wa mkoani mwanza walijitokeza na kujiuga na Airtel
ili waweze kutumia huduma za Airtel Yatosha.
 Msaniii wa Miondoko ya Hip Hop ROMA Mkatoliki akitoa burudani kwa
maelfu ya wakazi wa Mwanza waliofurika katika viwanja vya Furahisha
Mkoani humo kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha
uliofanyika mwishoni mwa wiki kwa siku mbili mfululizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. safi sana mjomba michuzi hapa umetufurahisha sana shangazi zako,
    bila ya picha ya diamond,kasema haombi ladhi nasi mgomo unaendelea ,hakuna kununua bidhaa zake wala jarida litakalo mpamba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...