Michuzi,
Tukiwa katika maswala ya ujenzi usiofuata viwango na masharti ya ujenzi, nilikumbana na hoteli iliyoko Shinyanga mjini ambayo imemalizika na wateja wanaishi. Cha kushangaza ni kuwa ngaziimechomoza katika kila corridor ya hoteli hii. Pia ngazi hizo hazilingani. Utakuta nyingine ndoogo na zingine kubwa, kiasi inatia wasiwasi kuhusu usalama wa watumiaji wa hili jengo. Mathalan ikitokea dharura ama hatari yoyote kaam vile moto na majanga mengine matokeo yanajulikana kwa kuangalia design failure hii.
Halimashauri ya Shinyanga mjini mpooo?
Ni mimi mdau SHY TOWN
Madau wa SHY umeshawai kujenga nyumba?
ReplyDeleteIf not please nyamaza
Hao ndiyo ma-engineer wetu mkuu. Kazi kujiita Engineer Fulani wakati kazi wanachemsha. Angalia hiyo design, sijaona kitu kama hiki duniani.
ReplyDeleteHapo kwenye dharura tupo pamoja, ila kulingana kwa ngazi, ngazi zenyewe haziendi kokote. Nadhani ni mapambo tu, hakuna haja ya kulingana wala kufuata viwango vya TBS.
ReplyDeleteHapo tunazungumzia swala la SAFETY hizo ngazi hazitakiwi kuweko, hawa engineer na arcthitecter wa bongo ni noooooma sijui wamekwenda shule za wapi
ReplyDeleteTatizo sio wahandisi na wasanifu majengo, tatizo ni watu kutafuta unafuu ulipitiliza wa kutumia watu wasio wataalamu wa ujenzi, wangapi mnajenga nyumba zenu mkitumia wahandisi na wasanifu majengo?
ReplyDelete