Mmoja wa wateja wa benki ya Blarclays ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa Magazeti ya Serikali, Regina Kumba akichagua moja ya majina katika droo ya bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha Bomba na  Barclays Benki kupitia kampeni yake ya ya Sanduku la Dhahabu. Jumla ya washindi 13 walipatikana katika droo hiyo. Kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa Barclays, Rahma Ngassa, Meneja wa Mawasiliano wa Barclays,Tunu Kavishe, Mwakilishi wa Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Barclays  Samwel Mkuyu.
Meneja Masoko wa Barclays, Rahma Ngassa (kushoto) akizungusha pipa la bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha Bomba na  Barclays Benki kupitia kampeni yake ya ya Sanduku la Dhahabu. Wengine pichani ni   Mwakilishi wa Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein, Meneja wa Mawasiliano wa Barclays,Tunu Kavishe na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Barclays  Samwel Mkuyu.
Meneja Masoko wa Barclays, Rahma Ngassa (kushoto) pamoja na viongozi wenzake wa Barclays Meneja wa Mawasiliano wa Barclays,Tunu Kavishe (katikati) na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Barclays  Samwel Mkuyu wakiangalia pipa la bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha Bomba na  Barclays Benki kupitia kampeni yake ya ya Sanduku la Dhahabu wakati wa kuchezesha droo za bahati nasibu hiyo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...