Jumapili hii Mei 19 kuanzia saa Kumi na Moja jioni hadi Saa Mbili usiku karibu uburudike na muziki laini wa Jazz ukiletwa kwako na Wakwetu Jazz Vibes pamoja na mpiga gitaa nguli, Jessie. Njoo ujumuike na marafiki pamoja na jamaa wengine Velisa’s Beach. Usisahau kuwaambia na wenzako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...