Bondia Fransic Cheka (kushoto) akipambana na Bondia mwenzake,Thomas Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi.
Bondia Fransic Cheka (kushoto) akimshambulia kwa makonde ya nguvu Thomas Mshali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi.
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Cheka katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam jana.



Shomari kimbau akiwa na Cheka baada ya kumvisha ubingwa wa IBF Africa aliokuwa akiutetea
Kutoka kushoto ni Kocha wa mchezo wa ngumi Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' mdau ambaye ajajulikana jina Mtayalishaji wa mpambano kati ya Fransic Cheka Vs Thomasi Mashali,Adamu Tanaka 'Tunaluza' na MC wa mpambano huo COOL.Picha na Super D Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2013

    Mi
    stew, put this thread please:

    Ajajulikana&@%& WHAT???, HAJAJULIKANA.
    Mtayalishaji&@% WHAT???, should have been MTAYARISHAJI.
    HIVI WATOTO WAS SIKU HIZI HAWAFUNDISHWI KISWAHILI MASHULENI?
    MDAU,MAMTONI > 25 YEARS.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2013

    Tangu mwanzo ilijulikana kwamba bondia huyu sio size ya Cheka, ilikuwa sawa na Yanga Vs Toto ya MZA!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2013

    Huwa nacheka sana ninapoona huyu jamaa anavyopenda kujifagilia eti kocha wa ngumi wa kimataifa!!!hana hata wasifu mmoja wa kumfundisha bondia yeyote aliyepata mafanikio katika tasnia ya ndondi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2013

    Kocha gani ana kitambi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...