Umahiri wetu wa lugha umeanza kudidimia.
Si tu lugha za kikabila, pia Kiswahili na Kiingereza. Njia moja ya kujiendeleza ni kusoma na kusikiliza mashairi na fasihi...
Freddy Macha
Home
Unlabelled
BORESHA LUGHA YAKO- Soma Mashairi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante kwa mchango wako ktk kuwahimiza waTZ kukisoma na kukipenda kiswahili.
ReplyDeleteBeti tatu si utani, menisuuza mutima,
ReplyDeleteVina na yake mizani, kwa fasaha kavipima,
Maudhui yake ndani, wenye akili yapima,
MLOKA sio utani, nakutolea heshima!
Kweli sione hadhani, akilini kuyapima,
Mbivu mbichi ubaini, na changa sijezichuma,
Ujuwe yupi ni "Nyani', sije changanya na "Kima",
Yana yake burudani, mashairi kiyasoma.
Mbali ya kuweza kuboresha lugha yetu, hebu muwe mnatuwekea vitu kama hivyo (Mashairi), alau tuwe tunakonga nyoyo zetu sometimes. Shukran sana Freddy Macha.