Katibu wa CCM, Aluu Segamaba akiongoza viongozi wenzake kukagua daraja la Rau linadaiwa kujengwa kwa kutumia kiasi cha sh. milioni 102, lililokatika kabla ya ujenzi wake kukamilika, viongozi wamelikataa daraja hilo.
Daraja la Rau lililojengwa na Manispaa ya Moshi na kukataliwa na timu ya Viongozi wa CCM wa wilaya hiyo katika Ziara ya kukagua miradi ya serikali inayotekelezwa na Manispaa hiyo.
Sehemu la Daraja la Rau, lililoko katika manispaa ya Moshi, Mkoani Kiliamnajro lililokataliwa na Viopngozi wa CCM wilaya ya Moshi katika ziara ya kukagua miradi ya manispaa Moshi ili kujiridhisha kama miradi inayoendeshwa na Manispaa hiyo ianendena na kiwango kinachotakiwa.Picha na Fadhil Athuman
Kitabu cha mlimani hicho
ReplyDeleteuchakachuaji tayari hapa na matokeo yake ndo hayo tunayoyaona
ReplyDeleteDuuuuh! Mkuu ahsante sana hiyo ndo njia ya kwenda kwetu. Loh!!
ReplyDeleteMalisa
Million zaid ya mia moja lakini daraja ni limejengwa kwa tope!
ReplyDeleteThe Managing Director and other officials of the Municipal should be sacked!
ReplyDelete