Meneja wa DAB barani Afrika, Carlo Fuccella (kulia) akishikana mkono na Mkurugenzi wa Trans Africa Water nchini,Tony Mwangi mara baada ya kuitangaza kampuni yake kuwa wazambazaji wakuu wa bidhaa zao hana nchini wakati wa hafla iliyofanyika Dar es Saalam jana.
  Meneja wa DAB barani Afrika, Carlo Fuccella, Mkurugenzi wa Trans Africa Water nchini,Tony Mwangi na wafanyakazi wa Trans Africa Water wakiwa katika Picha ya Pamoja mara baada ya kuitangaza kampuni hiyo kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa za DAB Dar es Saalaam jana.
  Baadhi ya Wageni waalikwa wakisikiliza hotuba ya Meneja wa DAB barani Afrika wakati wa kuitangaza Kampuni ya Trans Africa Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...