David Moyes has signed a six-year contract to succeed Sir Alex Ferguson in charge of champions Manchester United next season. The 50-year-old Scot leaves Everton after 11 years at the Goodison Park helm when his contract expires. Moyes expressed his desire to leave for Old Trafford in a meeting with Everton chairman Bill Kenwright last night and replaces retiring great Ferguson, who joins United's Board of Directors this summer following 27 trophy-laden years as the the club's manager. Moyes will stay on at Everton until the end of the month, leading the Toffees in their remaining two games of the campaign against West Ham and Chelsea. SOURCE: Daily Mail

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2013

    Dah ankal pole bwana. Naona hapa dozi zitaendelea tu kuwamaliza mwakani maana Moyes ni kiboko. Huyu jamaa ni sawa na Pep Guardiola kwani ana mtazamo wa hajabu sana katika gemu ila hakuwa na pesa za kununua quality at Everton.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2013

    Man U kwisha sasa. Walikuwa wanashinda kwa sababu waamuzi wanamwogopa Fergie! Pia historia inaonyesha kila timu inapofikia kilele cha mafanikio na kubadilisha uongozi huporomoka kwa muda mrefu sana. Fergie mwenyewe akiichukua Man 1986 ilikuwa haijashinda ubingwa toka 1967 na ilinchukua Fergie miaka 6 ndipo alipochukua ubingwa wake wa kwanza 1992/93. Angalia Liverpool imeanguka kuanzia 1991 hadi leo inahangaika, angalia Chelsea kati ya 1955 hadi 2005 ndio waliweza kurudi, angalia Aston Villa ilikuwa kiboko miaka ya 70, angalia AC Milan inavyohangaika, Napoli na hata Barcelona nayo inaingia katika hiyo vicious circle ya problems. Kwahiyo Man U ubingwa bai bai kwa miaka kadhaa na Man City na Chelsea ndio coming dominant forces in English football. Bye Man U and sorry Everton kwani nayo itayumba sana.
    Mdau J4

    ReplyDelete
  3. Upendeleo upo kila mahli anagalia Mzee Fergie naye amemkumbuka M cotish mwenzake! Duh DAMU NZITO KULIKO MAJI BWANA...

    Man U bye bye kqa Ubingwa jamani mtausikia bombani sasa.

    Lakini wakatui mwingine historia huwa haijirudii msiogope sana jipangeni tu kuhakikisha hayo wanayoamini wabaya wenu hayatokei.
    Kila la kheri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...