Ngoma ya Taarab ya 'Yatima' iliyopigwa na Egyptian Taarab na kuimbwa na Abbas Mzee ni ujumbe tosha ambao hata bendi za kisasa zinauimba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2013

    Wallahi ankal leo umeniwacha hoooooi na hii nyimbo ya Abbasi Mzee ya yatima. Nadhani alikuwa na Egyptian music group.

    Ujumbe wake muruwa, vinanda safi raha juu ya raha kusikiliza taarabu na ujumbe wake.

    Lakini hii ni lugha gani, kingazija?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...