Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akizungumza na waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia kuhusu yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika jana, pia mjini Dodoma.
TAARIFA NA PICHA NA BASHIR NKOROMO. KWA TAARIFA KAMILI KAMA ILIVYOTOLEWA NA DK. ASHA-ROSE MIGIRO BOFYA HAPA
TAARIFA NA PICHA NA BASHIR NKOROMO. KWA TAARIFA KAMILI KAMA ILIVYOTOLEWA NA DK. ASHA-ROSE MIGIRO BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...