Mwakilishi
kutoka Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik
wakati wa uzinduzi wa show hiyo.Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka
Namibia Cleo.
Mwakilishi
wa Tanzania Feza Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia
bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The
Chase 2013 Ik.
Mtangazaji
IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki
kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa Shindano la Big Brother The
Chase lililozinduliwa rasmi leo jijini Johannesburg Afrika Kusini ambapo
washiriki watakaa ndani ya jumba hilo kwa siku 90 na mshindi
kujinyakulia kitita cha Usd 300,000. Kulia ni Feza Kessy mshiriki
kutoka Tanzania.
Mtangazaji
IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Feza Kessy kwa Patna
wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa shindano hilo
leo jijini Johannesburg.






Partner wa Nando ni Fatima from Malawi.
ReplyDelete