Leo ni hepi besdei ya kuzaliwa Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji. Anamshukuru Mola kwa kumfikisha umri huo na hapo alipo. Anaishukuru pia familia yake, ndugu, jamaa na marafiki ambao wamekuwa naye katika shida na raha. Anasema anawapenda wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2013

    happy birthday baby rahman akujaze kila lenye na kheri na wewe na barka tele hapa duniani na kesho akhera, akupe siha njema na yote mema amin thats my dua to you najua hunijui lakini nimeamua tu kuku wish happy birthday salaam kutoka New York manhattan



    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2013

    Mi-Stew hembu niunganishe na huyu binti, "mzee mwenzangu huyu", mie naMmaindi sana, katulia kwelikweli, mweeee.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2013

    muheshimiwa heppi basdei mungu akupe umri mrefu kwani umri wako wa miaka 23 ni mdogo sana akuongezee mara sita yake na akupe afya nzuri pamoja na familia yako.
    amin
    mdau.
    iringa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2013

    I will never EVER call anyone MUOSHAMIWA, binadamu wote ni sawa, FACT.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2013

    Hepi bethdei mwayego usijali wasemao ovyo wewe ni mheshimiwa tu na binadamu wote si sawa, asikuharibie sikukuu yako buree.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2013

    mjomba michuzi , nimepata ukakasi kidogo kutokana na maneno uliyoyatumia hapo juu"hepibesdei ya kuzaliwa", nionavyo mimi si sahihi mana ni kama maneno yote yanaelekea kumaanisha kitu kimoja, japo moja limetoholewa kutoka lugha ya kingereza yaani Hepibesdei. hebu tukipende kiswahili chetu, nadhani rekebisha na andika FURAHA YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA- wako Bwana SALIM, CHINA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...