Maji taka yakitiririka na kutapakaa katika mitaa ya India na Indira Ghandi Jijini Dar es Salaam huku Mchoma viazi vitamu na watembea kwa miguu wakipita katika maji hayo kitu ambacho ni hatari kwa afya ya wakazi wa maeneo hayo. Wazee wa jiji mpo??? (Picha na Eleuteri Mangi – MAELEZO).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    Bado ndugu zetu mnataka kutwambia kuwa Tanzania imebadilika na sio ile ya kale? Hadi lini matatizo madogo madogo kama haya yatabaki mijini? Wahusika kila siku wanavimba vitambi na wajanja wachache wanajenga majumba ya kifahari halafu mtanzania wa kawaida anafurahia eti Tanzania imebadilika!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...