'Hazina Lounge iliyopo Coco Beach(bar &lounge) jijini Dar es salaam inawakaribisha wadau wote
wapenda burudani. Utapata muziki mzuri, vinywaji vya aina zote uzitakazo, na vyakula vya aina mbali mbali vinapatikana, na kwa wale wapenzi wa mpira, wataweza kuangalia mechi mbali mbali zinazoendelea ndani na nje ya nchi! huku ukipata upepo mzuri wa bahari. Mambo yote ni kila siku ndani ya Hazina lounge.Open from 11am.
Nimefika hapo...Sehemu poa na patulivu kwa watu wazima...
ReplyDelete