Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
benja mbona mpole leo hahaa
ReplyDeleteHata USA wanamuziki wananyonywa, wengine wanatoa rushwa ya ngono, na wengi wao wanaishia kufa wakiwa masikini hususan hawa weusi.
ReplyDeleteHongereni kina dada kwa kuongea ukweli mtupu wa hali halisi ya watanzania wengi wanavyodhulumiwa pesa zao! Jamani dada uliyevaa brown nimekupenda kuongea ukweli. Sasa niwaambieni hizo dhuluma sio tu kwenye tasnia ya usanii, ni kila sehemu kweli kabisa watanzania ni wezi mnooooooooooo! tena wanaodhulumu ni hao hao wakubwa. Jamani mnasafariri kwenda workshop mnaambiwa pesa mtalipiwa huko mtakavyozungushwa kama pia tena ni workshop labda hata za kisayansi nk. Kwa hiyi huo wizi kwa Tanzania ni very common kwenye sekta zote tu mbona! Mungu aiponye Tanzania mana nimecomment kabla hata sijamaliza kusikiliza mpaka mwisho, embu niendelee kuwasikiliza.
ReplyDeletekwakweli leo mmenifurahisha mno, endeleeni na mwendo huo huo.
ReplyDeletevichekesho na maujumbe ya kweli pia.
lakini nyie kina baba inakuwaje mnaona aibu (miwani) na kina dada wala hawajifichi?
Kidogo The Light is coming kwenye kijiwe chenu..hawa wakina dada wamegusa sehem muhim sana za maisha ya wasanii wa nyumbani..Keepin' it up with Kijiwe..
ReplyDeleteHiwe ! Ruge Mutahaba Wabonaki!
ReplyDeleteUnavisikia vijembe hivyo?
wanataka urudi bukoba ukabake senene
hi sasa nyie akinadada mbona mnatuchafulia mambo sisi maporomota?
ReplyDeletewenzenu tunaishi kwa mitaji ya wasanii wetu wajinga waliwao
Ruge wabonaki wahitu ,unawasikia hao kijiweni wanania ya kuharibu kazi,eti wanawaamsha wasanii wetu ,sasa wewe ukale wapi?
ReplyDeleteKiboko ya benja mama salma, vile vibao unavyosema vinawatoka! Ukijaribu kwa mama salma moto utauona,niceshow
ReplyDeleteAsanteni saaana, mmenikumbusha nyumbani na kuona jinsi watu walivyo na furaha na wanavyocheka kwa dhati. Dada mmoja mweupe aliniambia ninyi waafrika munajuwa kucheka bwana.
ReplyDeleteKweli waafrika tu watoto wa Mungu. Shida nyingi lakini furaha tele.
Mapromota tendeni haki kwa wasanii.
Mkijuwa kuwa dhuruma sio njema wala haileti maendeleo bali,aibu mafalakano, ugomvi na majuto baadae. Kama huyo bwana aliyetaka kuwadhurumu wenzake kule India.Asante sana dada yake kwa kusimama kidete.
Asanteni.
Kina mama wa kitanzania ni wazuri mno. Na pia wanajua kuvaa vizuri, embu ona hawa kina dada walivyo wazuri na walivyopendeza wala huchoki kuwaangalia kabisa. Huwezi kuwalinganisha watanzania na watu wa mataifa mengine ya Africa ukiwa Marekani au ulaya nk. Wametulia sana na muonekano safi kama hawa kinadada. Ukibisha basi walinganishe na wakina mama wa West Africa. Mtanzania ukimuona utamjua tu jinsi walivyo wazuri. Tuzidi kudumisha mema ya nchi yetu ya Tanzania. Wanaume pendeni wake zenu eh si mnawaona hao kina dada.
ReplyDeleteMimi natoka nchi moja jilani na tanzania na nimeowa mtanzania, safi sana.
ReplyDeleteKina Dada Salma na Eliza mmependezana sana sana, jamani mnavutia sana! Mnaonekana wasichana wadogo kabisa. Kweli waTz visura hasa. Naona hata wakaka hao Ben na Randi wameamua kuvaa miwani ili wasionekane kama wanawaangalia sana, mwanamke uzuri. Haya kipindi kijacho mvue miwani nyie wakaka.
ReplyDelete