Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt Jakaya Mrsisho Kikwete akifurahia zawadi aliyopewa na makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SSRA Bi, Jayne Nyimbo  akimtambia “ kuwa ni championi wa Hifadhi ya Jamii’wakati wa kilele cha wiki ya hifadhi ya Jamii hivi karibuni wakitizama ni waziri wa kazi na ajira Mh. Gaudencia Kabaka na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.

 Mh Waziri wa  Kazi na  Ajira  Mhe. Gaudencia Kabaka akifurahia zawadi aliyopewa na makamu mwenyekiti wa bodi ya SSRA  Bi. Jayne Nyimbo akimtambua jitihada zake katika kuendeleza sekta  ya hifadhi ya Jamii nchini

 Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa SSRA waliosimama kuanzia  safu ya nyuma kuanzia kushoto Bw. Mchafu Chakoma na Bw. Jonathan Peles. Mstari wa pili ni  wakuu wa mifuko ya hifadhi ya Jamii Tanzania Bara  wakiwa tuzo  kutoka  SSRA. Walioketi kuanzia kulia ni Mkurugenzi mkuu wa SSRA  BI. Irene Isaka , Makamu mwenyekiti wa Bodi Bi, Jayne Nyimbo, Raisi   wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt Jakaya Kikwete, waziri wa kazi na ajira mh. Gaudencia Kabaka na mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi  
 Picha ya Pamoja ya kamati ya maandalizi na Wanamaonesho wa wiki ya hifadhi ya Jamii chini ya uenyekiti  wa Bi, Sarah Kibonde Msika – Mkuu wa   Mahusiano na Uhamasishaji SSRA
Picha ya  Mgeni rasmi  akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe wa  menejimenti ya SSRA  wakati wa kilele cha maonesho ya wiki ya hifadhi ya Jamii mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...